Chabo Magazetini

Latest Blog

Waitara afunguka kuhama CHADEMA kwenye #Clouds360

Mwaija Salum

August 14th, 2018

No comments

Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Ukonga kwa tiketi ya CHADEMA,Mwita Waitara na sasa kuhamia CCM mapema leo asubuhi alifanya mahojiano na kipindi cha Clouds360 cha Clouds TV na kufunguka sababu ...

MO SALAH ACHUNGUZWA NA POLISI

Mwaija Salum

August 14th, 2018

No comments

MSHAMBULIAJI wa klabu ya Liverpool, Mohamed Salah ‘Mo Salah’ anachunguzwa na polisi nchini England kutokana na kuendesha gari huku akiwa anatumia simu. Mo Salah ambaye ni raia wa Misri ameingia ...

AY na mkewe wapata mtoto wa kiume

Mwaija Salum

August 13th, 2018

No comments

Msanii AY na mkewe Remy wamefanikiwa kupata mtoto wa kiume ambaye amepewa jina la Aviel. Kupitia akaunti yake ya Instagram AY aliandika hivi: ‘’Mungu ni Mwema na namshukuru sana kwa kutubariki ...

Linah- Mimi ni mtoto wa Askofu

Mwaija Salum

August 10th, 2018

No comments

Msanii Linah Sanga amezungumzia sababu ya kutofunga ndoa na baba watoto wake amesema kuwa ndoa ni mipango ya Mungu lakini pia sababu nyingine yeye na baba watoto wake dini zao ni tofauti. ‘’Ndoa ...

Latest Episodes

Latest Events

28
Jul
29
Jul

In Love & Money by Vee & Jux – Arusha Edition

Arusha Stadium

07:00 pm – 01:00 am