Burudani

Shilole: Nimemtumia text Chrisbrown amenijibu

Shilole: Nimemtumia text Chrisbrown amenijibu

Mwaija Salum

August 7th, 2018

No comments

Msanii Shilole wiki hii kupitia kipindi cha African Wired cha Clouds TV akihojiwa namtangazaji wa kipindi hicho, Lady Hahaa alisema alimtumia meseji  Staa wa muziki wa nchini Marekani, Chris Brown kwenye DM yake ya Instagram na alimjibu..

“Nimemtumia text #chrisbrown kwenye Dm yake Instagram na nilivyojitambulia akafurahi na nikamuuliza kama ananijua na akasema ndiyo ananijua na yupo tayari kufanya collabo na mimi pia aliniambia anafurahi kuona jinsi ninavyopambana kujua kingereza” Shilole amesema hayo kwenye kipindi cha #AfricanWired akiwa na #ladyhahaaa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This Website is Designed and Developed by Desy Ernest | desy@setuptz.com | 0719955966