Burudani

KUTANA NA MTOTO WA HAYATI REMMY ONGALA, AZIZA

KUTANA NA MTOTO WA HAYATI REMMY ONGALA, AZIZA

Mwaija Salum

August 10th, 2018

No comments

Mapema leo alifanya mahojiano na kipindi cha Clouds 360 cha Clouds TV na kuzungumza hivi:-

“Baba alifanya muziki wa injili sababu alikuwa akiumwa kwa takribani miaka kumi maana alipata stroke na alikuwa akikutana sana na watu wa kanisani maana walikuwa wanakuja kumuona na ndiyo maana akaanza kuimba muziki wa injili na hata watu wa kanisani walikua wanapenda sana kumuona akifanya muziki huo

“Baba alitokea Kongo na sisi tulizaliwa Tanzania hivyo sisi ni watanzania, Baba na Mama walivyokutana walikua wanashindwa kuwasiliana sababu mama alikua anajua kingereza na Baba hajui na huku Baba alikua anajua kiswahili na mama hajui, lugha ambayo wao walikua wakizungumza ni ‘Kifaransa’.Tuliolelewa na Baba na mama tupo watano japo kuna wadogo zetu wengine ambao hawakulelewa na baba na mama ila tunajuana” @azizaongala Mtoto wa marehemu Remy Ongala @ongalamusicfest

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This Website is Designed and Developed by Desy Ernest | desy@setuptz.com | 0719955966