Burudani

Linah- Mimi ni mtoto wa Askofu

Linah- Mimi ni mtoto wa Askofu

Mwaija Salum

August 10th, 2018

No comments

Msanii Linah Sanga amezungumzia sababu ya kutofunga ndoa na baba watoto wake amesema kuwa ndoa ni mipango ya Mungu lakini pia sababu nyingine yeye na baba watoto wake dini zao ni tofauti.

‘’Ndoa yangu na baba watoto wangu bado ni mipango ya Mungu, hata hivyo mimi na yeye dini tofauti, yeye ni Mwislamu na mimi ni mtoto wa Baba Askofu’’

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This Website is Designed and Developed by Desy Ernest | desy@setuptz.com | 0719955966