Yanga

Event

Jeans Party, Ijumaa Hii Life Club, Mwenge ITV, Kwa Buku Ten Tu!

Jeans Party, Ijumaa Hii Life Club, Mwenge ITV, Kwa Buku Ten Tu!

Ijumaa hii tunakutana wote wapenda kupendeza yaani yale mambo ya kuvaa jeans na jeans tarehe 31 ndiyo tutaonyesha pale Life Club kwa mtonyo wa buku kumi tu (10,000)

Red Carpet itasimamiwa na team nzima ya #Storm kutoka @CloudsTv Vouchers za kufanya shopping kwa watakaopendeza zitakuwepo na zile selfie za kutosha kutoka kwa mastaa uwapendao pia zitahusika.

Tukutane, Tujuane na tusifiane maana kupendeza ndiyo zetu watoto wa town.

This Website is Designed and Developed by Desy Ernest | desy@setuptz.com | 0719955966