Burudani

Shamsa Ford aweka U-staa pembeni kuinusuru ndoa yake.

Shamsa Ford aweka U-staa pembeni kuinusuru ndoa yake.

Mwaija Salum

September 13th, 2018

No comments

Tumeshuhudia ndoa nyingi za Mastaa wa Bongo zikivunjika kutokana na maisha yao ya umaarufu kuyapeleka kwenye ndoa zao, Msanii wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford asema yeye ni tofauti ndio maana ndoa yake mfanyabiashara, Chid Mapenzi iko imara.

‘’Ndoa yangu ina miaka miwili na nusu, naifurahia sana na maneno ya watu hayatukatishi tamaa tunapendana na tunajuana, Chid Mapenzi ni tofauti na wanaume wangu wote waliopita ndioa maana ndoa yangu imedumu yeye mume na wale walikuwa ni wapenzi tu’’ Alisema Shamsa Ford akifanya mahojiano na mtandao wa Cloudsfm.co.tz

‘’Ninafanya mambo mengi sana ili kuifanya ndoa yangu iendelee kudumu na kuinusuru isivunjike, ikiwemo kumuweka Mungu mbele kwa kufanya ibada  na kuweka  u-staa pembeni na kuwa kama mke kwenye nyumba tena wa Kitanzania’’ Alisema Shamsa Ford.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This Website is Designed and Developed by Desy Ernest | desy@setuptz.com | 0719955966