Uncategorized

Nipo single, sihitaji mwanamke mwenye tamaa- Aslay

Nipo single, sihitaji mwanamke mwenye tamaa- Aslay

Mwaija Salum

September 14th, 2018

No comments

Msanii wa Bongo Fleva, Aslay Isihaka amesema kwa sasa yupo single na haitaji mwanamke mwenye tamaa kwani wengi wanapenda usanii wake na wenye tamaa.

’Nilishawahi kuumia kwenye mahusiano ya kimapenzi lakini mahusiano hayo hayakuwa kati yangu na mama mtoto wangu Tessy ni ya mwanamke mwingine, ndio maana kwa sasa nipo single, sitaki kukurupuka kutafuta mahusino mapya kwa sababu wanawake wengine wanakupenda kwa kuwa ni msanii na wengine wana tamaa’’ Alisema Aslay Isihaka alipokuwa akifanya mahojiano na kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This Website is Designed and Developed by Desy Ernest | desy@setuptz.com | 0719955966