Uncategorized

AliKiba ampa ushauri Chid Benz

AliKiba ampa ushauri Chid Benz

Mwaija Salum

October 9th, 2018

No comments

Staa wa Bongo Fleva, AliKiba amempa ushauri msanii mkongwe, Chid Benz kutokana hali ya maisha aliyonayo kwa sasa baada kuonekana amedhoofika kwa madai kuwa amekuwa akitumia madawa ya kulevya.

“Namuombea kaka yangu Chid Benz apate uwezo wa kushinda matamanio ya moyo wake, Allah amsaidie aushinde mtihani anaoupitia. Bado tunamhitaji, ana familia inayomtegemea. Tumuombee maana kama hatoamua mwenyewe basi hatoweza kutoka kwenye hili shimo. Mwenyezi Mungu atamfanyia wepesi” Alisema Alikiba alipokuwa akifanya mahojiano kwenye kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This Website is Designed and Developed by Desy Ernest | desy@setuptz.com | 0719955966