Blog

Mo Dewji atekwa na watu wasiojulikana.

Mo Dewji atekwa na watu wasiojulikana.

Mwaija Salum

October 11th, 2018

No comments

Mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji ametekwa asubuhi ya leo Octoba 11, mwaka 2018 katika hoteli ya Colesseum, jijini Dar es Salaam alipokuwa amekwenda kufanya mazoezi ‘’gym’.

Kamanda wa polisi mkoa wa Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.

Jeshi la polisi likiwa limezungusha uzio wa tahadhari kwenye hotel hiyo baada ya hilo la utekaji kutokea.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This Website is Designed and Developed by Desy Ernest | desy@setuptz.com | 0719955966