Blog

Dj Zero, Mafuvu na Scratch Designer washinda DJs Battles, kukiwasha Songea na Mtwara,

Dj Zero, Mafuvu na Scratch Designer washinda DJs Battles, kukiwasha Songea na Mtwara,

Mwaija Salum

October 11th, 2018

No comments

Baada ya mchuano mkali #DjBattles wa siku mbili wa kumtafuta Dj atakayewapa burudani ya nguvu wakazi wa Mtwara na Songea kwenye #TigoFiesta2018 kwenye viwanja vya Nangwanda Sijaona na Majimaji Stadium, kesho Ijumaa na Jumapili.

Kwa kuzingatia kanuni, taratibu na haki za wapiga kura tunamchagua mshindi halisi aliyechaguliwa na wapiga kuwa kupitia mitandao yetu ya kijamii ya Instagram, Facebook, tweeter pamoja na simu yetu ya studio kwenye namba 15380.

Tangu jana usiku hadi leo asubuhi majaji wamekuwa na kazi kubwa sana kuhesabu kura, lakini kwa bahati mbaya au nzuri jana usiku majira ya saa tisa usiku, mtambo wa kuhesabia kura uli’jam (kustack) kutokana wingi wa kura zilizopigwa na mashabiki.

Baada ya mpambano mkubwa, madj watatu wamefanikiwa kuchaguliwa kwenda songea na mtwara.

Ambao ni

Dj Mavufu

Dj Scratch Designer

Dj Zero

AngaliaWaziri Mkuu wa Jamhuri ya Tigo Fiesta 2018, Gardner G Habash alivyowatangza DJ’S walioshinda kwenye michuano ya kuwatafuta madsj watakao toa vibes kwa wakazi wa Mtwara na Songea kwenye msimu wa Tigo Fiesta 2018.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This Website is Designed and Developed by Desy Ernest | desy@setuptz.com | 0719955966