Burudani

Studio ya Nay Wa Mitego yadaiwa kusambaratika.

Studio ya Nay Wa Mitego yadaiwa kusambaratika.

Mwaija Salum

November 7th, 2018

No comments

Studio ya Rapa Nay wa Mitego, Free Nation inadaiwa kusambaratika baada ya kuibuka stori kuwa producer wake Osam naye ameondoka katika studio hizo. Stori kamili hii hapa, Mtangazaji wa kipindi cha XXL kupitia U- Heard amezungumza na msanii huyo amefunguka.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This Website is Designed and Developed by Desy Ernest | desy@setuptz.com | 0719955966