Burudani

Calisah, chanzo cha penzi la Vera Sidika na Otile Brown kuvunjika?

Calisah, chanzo cha penzi la Vera Sidika na Otile Brown kuvunjika?

Mwaija Salum

November 8th, 2018

No comments

Tetesi zimenea kwenye mitandao ya kijamii kuwa mwanamitindo wa hapa nchini, Calisah anadaiwa kuwa chanzo cha Penzi la Otile Brown na mwanamitindo kutoka nchini Kenya, Vera Sidika kuvunjika. Mtangazaji wa kipindi cha XXL cha Clouds FM, Soudy Brown amepiga stori na Calisah, sikiliza hapa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This Website is Designed and Developed by Desy Ernest | desy@setuptz.com | 0719955966