Burudani

Angalia video mtangazaji Meena Ally alivyoibuka kwenye gwaride la Polisi Arusha.

Angalia video mtangazaji Meena Ally alivyoibuka kwenye gwaride la Polisi Arusha.

Mwaija Salum

November 8th, 2018

No comments

Mtangazaji wa kipindi cha Amplifaya cha Clouds FM, Meena Ally katika pitapita zake jijini Arusha za kuutafuta uwanja wa Sheikh Amri Abeid ili akatake tiketi kwa ajili ya tamasha la Tigo Fiesta 2018 litakalofanyika Jumamosi, Novemba 10 mwaka 2018, akajikuta ameibukia kwenye gwaride la jeshi la Polisi mkoani humo. Angalia video ilivyokuwa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This Website is Designed and Developed by Desy Ernest | desy@setuptz.com | 0719955966