Burudani

Clouds FM yatimiza miaka 19 tangu kuanzishwa.

Clouds FM yatimiza miaka 19 tangu kuanzishwa.

Mwaija Salum

December 3rd, 2018

No comments

Disemba 2 mwaka 1999, safari ya Clouds FM ilianzishwa katika chumba kimoja huko Posta kwenye jengo la Kitega Uchumi. Baada ya miaka kadhaa ndoto za Clouds ilizaliwa ikiwemo ya kutambulisha baadhi ya wadogo zake ambao ni akina Kitangoma (Jarida la Burudani), Fiesta, kipindi pendwa cha Afrika Bambataa pamoja na kujitambulisha katika miji mitatu ikiwemo Dar es salaam, Arusha na Mwanza.

Baada ya muda ikaanzishwa Clouds Tv na Dunia ilipogeukia katika utandawazi na kuingia katika ulimwengu wa ‘kidigital’. Huko ni kukimbizana vyema na mahitaji ya ulimwengu wa leo.

#Clouds19: Happy Birthday Clouds Media Group.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This Website is Designed and Developed by Desy Ernest | desy@setuptz.com | 0719955966