Yanga

Burudani

Mohamed Salah aibuka kidedea mchezaji Bora wa Mwaka (CAF)

Mohamed Salah aibuka kidedea mchezaji Bora wa Mwaka (CAF)

Mwaija Salum

January 9th, 2019

No comments

Mshambuliaji wa Misri na klabu ya Liverpool ya England Mohamed Salah ameibuka mchezaji Bora wa Mwaka wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) kwa mwaka 2018, hii ikiwa ni mara yake ya pili kushinda tuzo hiyo.

Salah (26) alimshinda mchezaji mwenzake wa Liverpool “Sadio Mane” kutoka Senegal na mshambuliaji wa Gabon “Pierre-Emerick Aubameyang”. Alikabidhiwa tuzo hiyo katika sherehe iliyofanyika siku ya jana (Jumanne) nchini Senegal.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This Website is Designed and Developed by Desy Ernest | desy@setuptz.com | 0719955966