Yanga

Kitaifa

Ndege ya Airbus yatua kwa mara ya kwanza uwanja wa ndege wa Mwanza

Ndege ya Airbus yatua kwa mara ya kwanza uwanja wa ndege wa Mwanza

Mwaija Salum

January 10th, 2019

No comments

Ndege ya kwanza kununuliwa na Serikali toleo la Airbus A220-300 iliyowasili mwaka jana 2018, Desemba 23, imeanza rasmi usafirishaji wa ndani kwa abiria ambapo imefanikiwa kutua kwa mara ya kwanza katika uwanja wa ndege jijini Mwanza. Timu ya Clouds ilisafiri na ndege hiyo kutoka jijini Dar es Salaam hadi jijini Mwanza. Angalia video ilivyokuwa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This Website is Designed and Developed by Desy Ernest | desy@setuptz.com | 0719955966