Yanga

Burudani

Kuelekea Uchaguzi mkuu Yanga, Tiboroha aweka wazi ajenda zake

Kuelekea Uchaguzi mkuu Yanga, Tiboroha aweka wazi ajenda zake

Mwaija Salum

January 11th, 2019

No comments

Mgombea nafasi ya Urais kwenye uchaguzi mkuu wa Klabu ya Yanga, Dr. Jonas Benedict ameweka wazi ajenda zake akifanikiwa kushinda nafasi hiyo.

‘’Tunakuja na ajenda sita lazima tutengeneze taasisi ili tuweze kuaminika na tuwe na mahusiano mazuri na wadau, lazima tuwe na ‘partnes’, miaka ya zamani tulikuwa na wazee wetu walikuwa wanaiendesha hii timu na ilikuwa inasafiri kwenda nje kwanini sasa hivi tushindwe? Tutakuwa karibu na wanachama na kufanya kazi za kijamii, na tutaimalisha matawi ya wanachama na kuwa nao karibu’’ Alisema Dr. Jonas Benedict Tiboroha alipokuwa akihojiwa na kipindi cha Clouds360 cha CloudsTV.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This Website is Designed and Developed by Desy Ernest | desy@setuptz.com | 0719955966