Yanga

Burudani

Mai aling’ang’ania kuigiza- Anko Zumo

Mai aling’ang’ania kuigiza- Anko Zumo

Mwaija Salum

January 11th, 2019

No comments

Baba mzazi wa mwigizaji mwenye umri mdogo anayechipukia Mai Zumo, Anko Zumo amesema mtoto wake aling’ang’ania kuonekana kwenye video wakati walipokuwa wakiigiza.

Ameyazungumza hayo kwenye mahojiano maalum kupitia kipindi cha Leo Tena Cha Clouds FM

‘’Tulikuwa hatufikiriii kama Mai Zumo atakuwa mwigizaji siku moja naye alitaka kuonekana kwenye video tukamwambia atoke asilete fujo hadi tukashindwa kufanya shughuli yetu alikuwa analia tukamwabia afanye tulilomwambia akaweza vizuri tangu siku hiyo tukaanza kumtumia’’ @ankozumo #LiveLeoTena.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This Website is Designed and Developed by Desy Ernest | desy@setuptz.com | 0719955966