Kitaifa

Mwigulu afunguka ukimya wake, kugombea Urais, ishu ya Nape.

Mwigulu afunguka ukimya wake, kugombea Urais, ishu ya Nape.

Mwaija Salum

February 11th, 2019

No comments

Mbunge wa jimbo la Iramba, Mwigulu Nchemba amefunguka kuhusu ukimya wake, kugombea urais mwaka 2020 na ishu ya mbunge wa jimbo la Mtamba, Nape Nnauye kutolewa bastola mwaka 2017 wakati yeye alipokuwa waziri wa Mambo ya Ndani na pia uchunguzi uliishia wapi.

Amefunguka leo Februari 11, 2019 kwenye kipindi cha Clouds 360 cha Clouds TV. Tazama video akizungumza.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This Website is Designed and Developed by Desy Ernest | desy@setuptz.com | 0719955966