Uncategorized

Singida UTD kuyumba kiuchumi; ‘Mbona Ligi Kuu Bara haina Mdhamini?

Singida UTD kuyumba kiuchumi; ‘Mbona Ligi Kuu Bara haina Mdhamini?

Mwaija Salum

February 11th, 2019

No comments

Timu ya Singida UTD ya mkoani Singida inasemekana ipo kwenye hali mba ya kiuchumi, Kiongozi Mkuu wa Singida United, Mwigulu Nchemba amekiri klabu hiyo kuyumba kiuchumi baada ya wadhamini kupungua.

Ameyazungumza hayo leo Februari 11, 2019 kwenye mahojiano maalum kupitia kipindi cha Clouds 360 cha Clouds TV. Tazama video akizungumza.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This Website is Designed and Developed by Desy Ernest | desy@setuptz.com | 0719955966