Burudani

Mke wangu ananivumilia sana- Msami Baby

Mke wangu ananivumilia sana- Msami Baby

Mwaija Salum

February 11th, 2019

No comments

Kwenye msimu huu wa Mapenzi Mubashara kuelekea Valentine Day, msanii wa Bongo Fleva, Msami Baby amesema kuwa mwezi huu ni maalum kwa mama mtoto wake.

“Msimu huu wa Mapenzi Mubashara ni maalum kwa ajili ya mama mtoto wangu kwani amekuwa mvumilivu, ananijali, ananisikiliza na anakubaliana na kila hali tunayopitia hivyo kwa upande wangu nautumia mwezi huu kumzidishia upendo na kuhakikisha anakuwa na furaha na kujisikia wa pekee” Alisema Msami  alipokuwa akifanya mahojiano na mtandao huu Cloudsfm.co.tz

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This Website is Designed and Developed by Desy Ernest | desy@setuptz.com | 0719955966