Uncategorized

Kibonde ataendelea kuwepo moyoni mwangu- Captain Gadner

Kibonde ataendelea kuwepo moyoni mwangu- Captain Gadner

Mwaija Salum

March 12th, 2019

No comments

Mtangazaji wa kipindi cha Jahazi, Captain G. Habash amesema aliyekuwa mtangazaji Marehemu, Ephraim Kibonde ataendelea kuwepo moyoni mwake na hakika ataendelea kuishi kwenye damu yake. Tazama video akizungumza kwenye mazishi ya mtangazaji huyo kwenye makaburi ya Kinondoni.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This Website is Designed and Developed by Desy Ernest | desy@setuptz.com | 0719955966