Burudani

Wafanyakazi wa kampuni ya Agnet Group Of Companies watembelea mjengoni Clouds.

Wafanyakazi wa kampuni ya Agnet Group Of Companies watembelea mjengoni Clouds.

Mwaija Salum

March 14th, 2019

No comments

Viongozi na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Agnet Group Of Companies wametembelea Clouds Media Group na kupata chakula cha mchana pamoja na wafanyakazi  wa mjengoni.

Chakula hicho kiliandaliwa na kampuni hiyo lengo likiwa ni kuonyesha  ishara kubwa ya upendo, imani, urafiki na utayari wa kuendeleza ubora katika kazi.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This Website is Designed and Developed by Desy Ernest | desy@setuptz.com | 0719955966