Burudani

Kolabo ya Marioo na Bright ‘soon’

Kolabo ya Marioo na Bright ‘soon’

Mwaija Salum

March 14th, 2019

No comments

Mashabiki wanadai kuwa wasanii hawa wa Bongo Fleva, Marioo na Bright wanafanana na wengine kushindwa kuwatofautisha, vipi kama wakiamua kufanya kolabo? Bright afunguka mpango huo.

‘’Muda wowote, niko tayari hata sasa hivi kwa sababu napenda msanii anayefanya vizuri, kwahiyo kolabo na Marioo muda wowote tutahitaji kufanya kwa sababu sisi ni washkaji na tutapiga tu ngoma mashabiki wategemee makubwa zaidi’’ Alisema Bright alipokuwa akifanya mahojiano na mtandao huu Cloudsfm.co.tz

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This Website is Designed and Developed by Desy Ernest | desy@setuptz.com | 0719955966