Yanga

Burudani

Chuchu ajisikia vibaya baada ya kuona video ya Ray akiwa na mwanamke mwingine.

Chuchu ajisikia vibaya baada ya kuona video ya Ray akiwa na mwanamke mwingine.

Mwaija Salum

April 12th, 2019

No comments

Mzazi mwenziye na Staa wa Bongo Movie, Ray Kigosi, mwigizaji Chuchu Hansy amesema alijisikia vibaya baada kuona video iliyosambaa mtandaoni ikimwonyesha ‘mume wake’ akiwa na mwanamke mwingine.

‘’Zile video niliziona kama watu wengine walivyoziona, nilijisikia vibaya lakini nitafanyaje yote kheri, sikumuuliza maana nina vitu vingi vya kufanya na kama nikikaa na kufuatilia mapenzi zaidi mambo mengine naweza nisifanye maana mapenzi yana’cost’ sana” Alisema Chuchu Hansy alipokuwa akifanya mahojiano kwenye kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM.

Mwigizaji huyo amesema ana historia ya kudumu muda mrefu kwenye mahusiano, yeye na Ray wanatimiza miaka kumi mwezi wa tano mwaka huu 2019.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This Website is Designed and Developed by Desy Ernest | desy@setuptz.com | 0719955966