Yanga

Kitaifa

Tazama maiti ilivyofukuliwa na kuvuliwa nguo makaburini Pugu.

Tazama maiti ilivyofukuliwa na kuvuliwa nguo makaburini Pugu.

Mwaija Salum

April 13th, 2019

No comments

Katika hali isiyokuwa ya kawaida Mwili wa aliyekuwa Afisa wa Wizara ya Nishati Mery Mkwaya Maramo aliyefariki mwanzoni mwa wiki hii na kuzikwa jana katika Makaburi ya Pugu Mwakanga jijini Dar es Salaam umefukuliwa na kutolewa Nje ya jeneza kisha kuvuliwa Nguo Usiku wa kuamkia Leo April 12, 2019 na watu wasiojulikana. Tazama video tukio hilo lilivyokuwa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This Website is Designed and Developed by Desy Ernest | desy@setuptz.com | 0719955966