Yanga

Uncategorized

#LIVE Joseph Kusaga azungumzia faida za Mashindano ya East African’s Got Talent.

#LIVE Joseph Kusaga azungumzia faida za Mashindano ya East African’s Got Talent.

Mwaija Salum

April 13th, 2019

No comments

Mkurugenzi wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga amezungumza faida zitakazopatikana kupitia Mashindano makubwa zaidi ulimwenguni, yakayohusisha vipaji vyote, ya East Africa’s Got Talent na Clouds Media Group imeleta fursa hiyo Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla.

Amezunguma leo April 13, 2019 kupitia kipindi cha Clouds 360 On Saturday. Tazama video akizungumza.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This Website is Designed and Developed by Desy Ernest | desy@setuptz.com | 0719955966