Yanga

Burudani

Baraka Magufuli aibuka mjengoni, Clouds 360 wajitolea kumnunulia ‘smartphone’.

Baraka Magufuli aibuka mjengoni, Clouds 360 wajitolea kumnunulia ‘smartphone’.

Mwaija Salum

April 15th, 2019

No comments

Baada ya Mkurugenzi wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga kuvutiwa na kipaji cha msanii anayeigiza sauti ya Rais Dkt. John Magufuli, Baraka Magufuli na kuwaambia wafanyakazi wa Redio hiyo kumtafuta na ikiwezeka meneja wake atoke mjengoni. Tazama Video akifanya mahojiano kwa mara ya kwanza kwenye kipindi cha Clouds 360 cha Clouds TV.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This Website is Designed and Developed by Desy Ernest | desy@setuptz.com | 0719955966