Yanga

Burudani

Mchekeshaji Mwalubadu asema Yanga ikifungwa kama ametupiwa mfuko wa sementi.

Mchekeshaji Mwalubadu asema Yanga ikifungwa kama ametupiwa mfuko wa sementi.

Mwaija Salum

April 15th, 2019

No comments

Msanii wa Vichekesho, maarufu kwa jina la Mwalubadu leo Jumatatu April 15, 2019 amefanya mahojiano na kipindi cha Clouds 360 cha Clouds TV na kuzungumza mambo mengi kuhusu sanaa yake na jinsi anavyoipenda timu ya Yanga. Tazama video akizungumza.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This Website is Designed and Developed by Desy Ernest | desy@setuptz.com | 0719955966