Yanga

Burudani

Benson alimfumania mpenzi wake, akamsamehe.

Benson alimfumania mpenzi wake, akamsamehe.

Mwaija Salum

April 15th, 2019

No comments

Msanii wa Bongo Fleva, Benson amefunguka kupitia kipindi cha Leo Tena, leo April 15, 2019 kuwa alishawahi kumfumania mpenzi wake akitoka ‘guest’na mwanaume mwingine lakini alimsamehe.

‘’Nilishawahi kumfumania mpenzi wangu ‘guest’, nilipigiwa simu na mtu akaniambia kuwa amemwona  mpenzi wangu akiingia nyumba ya wageni, nilivyoenda eneo la tukio, nikawakuta wanatoka chumbani, lakini mwisho wa siku nilimsamehe na kuendelea na maisha yetu ya mahusiano, japo kwa sasa hatupo pamoja tena” Alisema Benson

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This Website is Designed and Developed by Desy Ernest | desy@setuptz.com | 0719955966