Yanga

Burudani

Lulu Diva kutoka na Wizkid, adai Kabula alitaka kumtoa roho kisa Banda.

Lulu Diva kutoka na Wizkid, adai Kabula alitaka kumtoa roho kisa Banda.

Mwaija Salum

April 17th, 2019

No comments

Msanii wa Bongo Fleva, Lulu Diva amesema muda si mrefu atatoka na Wizkid kwa sababu anam’feel’ sana, na pia amefunguka kuwa msanii wa filamu za Kibongo, Jini Kabula alitaka kumtoa roho kisa Banda. Tazama video akizungumza.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This Website is Designed and Developed by Desy Ernest | desy@setuptz.com | 0719955966