Kitaifa

Rais Magufuli aongoza Watanzania kuaga mwili wa Mengi, Dar.

Rais Magufuli aongoza Watanzania kuaga mwili wa Mengi, Dar.

Mwaija Salum

May 8th, 2019

No comments

Rais John Magufuli ameongoza Watanzania kutoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa mwenyekiti wa kampuni za IPP, Marehemu Dr Reginald Mengi alifariki dunia huko Dubai, Falme za Kiarabu.

Tukio limefanyika Aprili 7, 2018 katika ukumbi wa Karimjee, Jijini Dar es Salaam.

Mwili wa Dr Reginald Mengi umesafirishwa leo kuelekea Moshi, Mkoani Kilimanjaro kwa mazishi yatakayofanyika siku ya kesho Alhamisi, Aprili, 9, 2019 katika makaburi ya nyumbani kwao, kijiji cha Kisereni katika wilaya ya Hai. Tazama video tukio zima la kuaga mwili ulivyokuwa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This Website is Designed and Developed by Desy Ernest | desy@setuptz.com | 0719955966