Kitaifa

LIVE: Mwili wa Dkt Mengi wawasili Moshi kuzikwa kesho, kijijini kwao Kisereni.

LIVE: Mwili wa Dkt Mengi wawasili Moshi kuzikwa kesho, kijijini kwao Kisereni.

Mwaija Salum

May 8th, 2019

No comments

Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Marehemu Dr Reginald Mengi umewasili leo Jumatano, Aprili, 8, 2019 mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya mazishi yatakayofanyika siku ya kesho Alhamisi, Aprili, 9, 2019 katika makaburi ya nyumbani kwao, kijiji cha Kisereni katika wilaya ya Hai. Tazama video kinachoendelea mjini Moshi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This Website is Designed and Developed by Desy Ernest | desy@setuptz.com | 0719955966