Kitaifa

LIVE: Wakazi wa Moshi watoa heshima za mwisho kwa Dkt. Mengi katika kanisa la KKKT.

LIVE: Wakazi wa Moshi watoa heshima za mwisho kwa Dkt. Mengi katika kanisa la KKKT.

Mwaija Salum

May 9th, 2019

No comments

Wakazi wa mji wa Moshi mkoani Kilimanjaro leo Alhamis, Aprili 9, 2019 wamepata nafasi ya kutoa heshima za mwisho kwa Dkt Reginald Mengi.

Tukio la kutoa heshima za mwisho limefanyika katika kanisa la Kiinjili la Kilutheli Usharika wa Moshi Mjini. Tazama video tukio zima lilivyokuwa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This Website is Designed and Developed by Desy Ernest | desy@setuptz.com | 0719955966