Kitaifa

Mbunge CHADEMA amwaga machozi bungeni, naibu spika amuombea maji

Mbunge CHADEMA amwaga machozi bungeni, naibu spika amuombea maji

Mwaija Salum

May 10th, 2019

No comments

Mbunge wa Mlimba, Susan Kiwanga amemwaga machozi bwakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kutokana na hali ya ubovu wa barabara katika jimbo lake la Mlimba mkoani Morogoro hali aliyoeleza inahatarisha maisha ya kina Mama wajawazito. Tazama video tukio zima lilivyokuwa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This Website is Designed and Developed by Desy Ernest | desy@setuptz.com | 0719955966