Michezo

Ndondo Cup kwenda Kimataifa 2019,washindi kupewa zawadi nono.

Ndondo Cup kwenda Kimataifa 2019,washindi kupewa zawadi nono.

Mwaija Salum

May 15th, 2019

No comments

Mkurugenzi wa Ndondo Cup, Shaffih Dauda amesema kuwa mashindano hayo ya Ndondo Cup kwa mwaka huu 2019 yatakwenda Kimataifa zaidi na tayari wapo kwenye mazungumzo ya mwisho na kampuni moja kubwa inayofanya ‘broadcasting’ ya mpira.  Tazama video akizungumza kupitia kipindi cha Clouds 360 cha Clouds TV.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This Website is Designed and Developed by Desy Ernest | desy@setuptz.com | 0719955966