Kitaifa

Tulifanya utafiti tulibaini wakurugenzi 74 ni makada wa Chama cha Siasa- Bob Chacha Wangwe

Tulifanya utafiti tulibaini wakurugenzi 74 ni makada wa Chama cha Siasa- Bob Chacha Wangwe

Mwaija Salum

May 15th, 2019

No comments

Mwanachama wa Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo, CHADEMA, Bob Chacha Wangwe ambaye amefungua kesi Mahamaka Kuu Kanda ya Dar es Salaam kupinga wakurugenzi kusimamia uchaguzi amesema kabla ya kufungua kesi hiyo walifanya utafiti walibaini wakurugenzi 74 ni makada wa Chama cha Siasa. Tazama video akizungumza kupitia kipindi cha Clouds 360 cha Clouds TV.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This Website is Designed and Developed by Desy Ernest | desy@setuptz.com | 0719955966