Kitaifa

Mbunge wa CCM asema biashara zinakufa nchini.

Mbunge wa CCM asema biashara zinakufa nchini.

Mwaija Salum

May 15th, 2019

No comments

Mbunge wa jimbo la Busega amedai kuwa kwa sasa hapa nchini mtu akitajirika anaitwa fisadi au mwizi, na kwamba hayo maneno hayajengi Watanzania. Tazama video wakati mbunge huyo akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara bungeni jijini Dodoma.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This Website is Designed and Developed by Desy Ernest | desy@setuptz.com | 0719955966