Yanga

Kitaifa

Waziri Makamba atembelea viwanda vya kuzalisha mifuko mbadala.

Waziri Makamba atembelea viwanda vya kuzalisha mifuko mbadala.

Mwaija Salum

June 3rd, 2019

No comments

Ikiwa leo ni siku ya tatu tangu mifuo ya plastiki ipigwe marufuku hapa nchini, waziri mwenye dhamana ya Mazingira, January Makamba leo June 3, 2019 amefanya ziara ya kutembelea viwanda mbalimbali vinavyozalisha mifuko mbadala jijini Dar es Salaam kuona uwezo wa viwanda hivyo kwenye kuhudumia Watanzania ambao sasa hawatumii mifuko ya plastiki tena.

Waziri Makamba ametembelea katika kiwanda cha mifuko mbadala kilichopo Chang’ombe jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kukagua uwezo wa viwanda hivyo wa kuzalisha mifuko mbadala.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This Website is Designed and Developed by Desy Ernest | desy@setuptz.com | 0719955966