Yanga

Burudani

Msafara wa Nandy wapata ajali Mikumi.

Msafara wa Nandy wapata ajali Mikumi.

Mwaija Salum

June 4th, 2019

No comments

Gari aina ya Coaster lenye namba za usajili  T208 DLX lililowabeba wasanii wa bendi waliokuwa wakielekea kwenye shoo ya msanii wa Bongo Fleva, Nandy Festival mkoani Rukwa limepata ajali maeneo ya Mikumi, mkoani Morogoro usiku wa kuamkia June 3, 2019 ambapo wasanii kadhaa wamejeruhiwa na kukimbizwa hospitalini.

Wasanii waliokuwa kwenye msafara huo ni Juma nature, Whozu, Stamina, Nandy, Barnaba, Roma Billnass , Ice Boy na msanii kutoka nchini Kenya, Willy Paul. Tazama video uone tukio zima lilivyokuwa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This Website is Designed and Developed by Desy Ernest | desy@setuptz.com | 0719955966