Yanga

Burudani

Tazama Nandy  alivyoujaza uwanja wa Mandela, Sumbawanga

Tazama Nandy alivyoujaza uwanja wa Mandela, Sumbawanga

Mwaija Salum

June 7th, 2019

No comments

Siku ya Sikukuu ya Eid El Fitri, June 5, 2019,  msanii wa Bongo Fleva, Nandy kwa kushirikiana na wasanii wenzake walifanikiwa kwa kiasi kikubwa kuujaza uwanja wa Mandela mjini Sumbawanga kwenye tamasha la Nandy Festival. Tazama video uone ilivyokuwa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This Website is Designed and Developed by Desy Ernest | desy@setuptz.com | 0719955966