Yanga

Burudani

Kutana na ‘Comedian’ Nasra, Msomali wa Kwanza  kuchekesha Kenya.

Kutana na ‘Comedian’ Nasra, Msomali wa Kwanza kuchekesha Kenya.

Mwaija Salum

June 7th, 2019

No comments

Mchekeshaji Nasra Yusuf Ahmed kutoka nchini Kenya kwa mara ya kwanza amefanya mahojiano leo June 7, 2019 kupitia kipindi cha Clouds 360 cha Clouds TV na kuzungumza mambo mengi kuhusu kazi yake ya Uchekeshaji.

“Uchekeshaji nilianza tangu zamani nyumbani kwetu walikuwa wakiniambia kuwa naweza kuchekesha, mimi ni Msomali wa kwanza kuchekesha nchini Kenya, baba yangu hanisapoti hajawahi kuniona kwenye TV kwa sababu huwa hatazami, ila mama yangu ananisapoti sana” Alisema Nasra Yusuf Ahmed

“Ninapoitwa stejini huwa nakuwa nimeshajipanga kabisa nitachekesha kitu gani kwa sababu huwa nimeshafanya mazoezi kabla, huwa napiga dua yangu kabla ya kupanda stejini”Aliongeza Nasra Yusuf Ahmed.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This Website is Designed and Developed by Desy Ernest | desy@setuptz.com | 0719955966