Blog

Stars yaibanjua Uganda 3, Magufuli awaita Ikulu.

Mwaija Salum

March 25th, 2019

No comments

Timu ya Taifa ya Tanzania, ‘Taifa Stars’ imeibanjua timu ya Taifa ya Uganda ‘The Craines’ mabao 3 kwa sifuri katika michuano ya kufuzu Fainali ya kombe la mataifa ya ......

Stara Thomas amwaga chozi studio kwenye kipindi cha Amplifaya.

Mwaija Salum

March 22nd, 2019

No comments

Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, Stara Thomas amemwaga chozi akiwa kwenye mahojiano kupitia kipindi cha Amplifanya cha Clouds FM alipokuwa akihojiwa na mtangazaji wa kipindi hicho, Meena ......

Wasanii tufanye biashara nyingine zaidi ya muziki, tuepuke ‘Stress’- Dayna.

Mwaija Salum

March 22nd, 2019

No comments

Msanii wa Bongo Fleva, Dayna Nyange amewataka wasanii kujikubali waposhuka kimuziki kwani kuna kupanda na kushuka, wapo wasanii wengine ‘huko nje’ wanayoitaka nafasi walionayo. ‘’Unajua ‘stress’ ......

Makamu wa Rais, Samia Suluhu atembelea familia ya Ruge Mutahaba.

Mwaija Salum

March 22nd, 2019

No comments

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Hassan Suluhu leo Ijumaa, March 22, 2019 amefika kuhani msiba nyumbani kwao aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds ......

Wanafamilia wa Clouds watembelea mjengoni, watoa pole.

Mwaija Salum

March 22nd, 2019

No comments

Wanafamilia wa Clouds Media Group ambao ni wadau wakubwa wa Redio ya Watu wametembelea mjengoni Mikocheni kutoa mkono wa pole kwa uongozi kufuatia kuondokewa na aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na ...

CCM sio adui wa CUF- Katibu Mkuu

Mwaija Salum

March 21st, 2019

No comments

Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF, Khalifa Suleiman Khalifa amesema chama chao hakina uadui na Chama Cha Mapinduzi CCM. Ameyazungumza hayo leo March 21, 2019 kupitia kipindi cha Clouds 360 ......

Wachapwa viboko 22, watupwa jela kwa kushiriki ‘tendo la ndoa’ bila kufunga ndoa.

Mwaija Salum

March 21st, 2019

No comments

Wapenzi wanaoshiriki tendo la ndoa bila ya kufunga ndoa wamechapwa viboko kwa kuvunja moja ya sheria za kiislam huko nchini Indonesia. Hii ni baada ya kukamatwa wakiwa kwenye mazingira ......

Octopizzo aiomba serikali ya kenya kuhalalisha matumizi ya bangi.

Mwaija Salum

March 21st, 2019

No comments

Mwanamuziki wa Hip Hop kutoka nchini Kenya, Octopizzo ameingia kwenye headlines baada ya kuiomba serikali ya Kenya kuhalalisha matumizi ya bangi kama ilivyokuwa matumizi ya sigara. Katika ......

#Makala Historia kuibeba TP Mazembe? Simba ijipange sawa sawa.

Mwaija Salum

March 21st, 2019

No comments

Na Bilal Saadat Jana March 20, 2019 jijini Cairo nchini Misri  kulifanyika hafla ya upangaji wa mechi za Robo fainali ya CAF Champions League, (Klabu Bingwa Afrika) ambapo klabu ya Simba itaumana ...

Ofa yawaponza Warembo, watelekezwa kwenye kisiwa chenye nyoka wa kutisha.

Mwaija Salum

March 20th, 2019

No comments

Wasichana kutoka nchini Uingereza ambao walifanya malipo ya kwenda kuogelea kwenye moja kati ya visiwa vya kihistoria walijikuta wameachwa ndani ya visiwa hivyo kwenye eneo ambalo huwa linakuwa ......

This Website is Designed and Developed by Desy Ernest | desy@setuptz.com | 0719955966