Blog

Tazama Nchama The Best akimtongoza kwa michano Karen.

Mwaija Salum

May 15th, 2019

No comments

Msanii wa Bongo Fleva, Nchama The Best amemtupia michano ya kumtongoza msanii mwenzake wa muziki huo, Malkia Karen. Tazama  ilivyokuwa....

Ndondo Cup kwenda Kimataifa 2019,washindi kupewa zawadi nono.

Mwaija Salum

May 15th, 2019

No comments

Mkurugenzi wa Ndondo Cup, Shaffih Dauda amesema kuwa mashindano hayo ya Ndondo Cup kwa mwaka huu 2019 yatakwenda Kimataifa zaidi na tayari wapo kwenye mazungumzo ya mwisho na kampuni moja kubwa ......

Mbunge CHADEMA amwaga machozi bungeni, naibu spika amuombea maji

Mwaija Salum

May 10th, 2019

No comments

Mbunge wa Mlimba, Susan Kiwanga amemwaga machozi bwakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kutokana na hali ya ubovu wa barabara katika jimbo lake la Mlimba ...

Waziri wa Afya aelezea tatizo la Nguvu za Kiume, ugonjwa wa Dengue.

Mwaija Salum

May 10th, 2019

No comments

Waziri wa Afya, Mh. Ummy Mwalimu amezungumza tatizo la upungufu wa nguvu za kiume pamoja na ugonjwa wa Dengue ambao ameeleza kuwa maambukizi mapya yamebainika mkoani wa Singida. Tazama video ......

Kepa aipeleka Chelsea fainali ya Europa League, kucheza na Arsenal.

Mwaija Salum

May 10th, 2019

No comments

Kipa wa Chelsea, Kepa Arrizabalaga akiokoa penalti ya Goncalo Paciencia kabla ya Edin Hazard kuifungia The Blues penalti ya mwisho Uwanja wa Stamford Bridge mjini London na kutinga fainali ya ......

LIVE: Wakazi wa Moshi watoa heshima za mwisho kwa Dkt. Mengi katika kanisa la KKKT.

Mwaija Salum

May 9th, 2019

No comments

Wakazi wa mji wa Moshi mkoani Kilimanjaro leo Alhamis, Aprili 9, 2019 wamepata nafasi ya kutoa heshima za mwisho kwa Dkt Reginald Mengi. Tukio la kutoa heshima za mwisho limefanyika katika kanisa ...

LIVE: Mwili wa Dkt Mengi wawasili Moshi kuzikwa kesho, kijijini kwao Kisereni.

Mwaija Salum

May 8th, 2019

No comments

Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Marehemu Dr Reginald Mengi umewasili leo Jumatano, Aprili, 8, 2019 mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya mazishi yatakayofanyika ...

Rais Magufuli aongoza Watanzania kuaga mwili wa Mengi, Dar.

Mwaija Salum

May 8th, 2019

No comments

Rais John Magufuli ameongoza Watanzania kutoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa mwenyekiti wa kampuni za IPP, Marehemu Dr Reginald Mengi alifariki dunia huko Dubai, Falme za Kiarabu. ......

Maandalizi ya kumpumzisha Reginald Mengi yaendelea kijijini kwao, Machame.

Mwaija Salum

May 6th, 2019

No comments

Sasa ni rasmi maziko ya aliyekuwa Mwenyekiti mtendaji wa Makampuni ya IPP, Dkt. Reginald Mengi yatafanyika nyumbani kwao Kijiji Cha Kisereni Machame wilayani Hai, mkoani Kilimanjaro. Shughuli za ......

Kupotea kwa Mdude Chadema, naibu waziri aagiza jeshi la polisi kumuhoji Msigwa.

Mwaija Salum

May 6th, 2019

No comments

Ikiwa zimepitia siku kadhaa tangu kutoweka kwa mmoja wa wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mdude Nyagaly maarufu kama Mdude Chadema, naibu waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ......

This Website is Designed and Developed by Desy Ernest | desy@setuptz.com | 0719955966