Blog

#Breaking Masoud Kipanya atangaza kuhama Chama

Mwaija Salum

July 31st, 2018

No comments

Kutokana na vuguvugu la wanasiasa kuhama vyama, muda huu Mtangazaji Masoud Kipanya ametangaza kuhama chama alichokuwa akikishabikia. Masoud alimshukuru sana Rais wa Jamhuri wa Muungano wa ......

YUNG L: ‘Namkubali Alikiba/Vanessa/ Naongea na Nicki Minaj mara kwa mara’

cloudsfm

July 26th, 2018

No comments

Kutana na Yung L kutokea nchini Nigeria aliyepata nafasi ya kufanya collaboration na Major Lazer pamoja na Nicki Minaj katika ngoma ya “Run up” kwenye Exclusive Interview na Ayo Tv amewataja ......

Shadee kwenye penzi jipya, “nime-enjoy nae Dubai”

cloudsfm

July 26th, 2018

No comments

Mtangazaji wa Clouds TV Shadee amezungumza na millardayo.com pamoja na Ayo TV kuhusu mahusiano yake mapya ya kimapenzi ambapo moja ya swali aliloulizwa ni pamoja na kuwahi kuwa kwenye uhusiano wa ...

IKO WAPI SIO HABARI? Idris kaelezea inarudi vipi na siyo Clouds tena?

cloudsfm

July 26th, 2018

No comments

Mchekeshaji Idris Sultan amezungumza kuhusu kipindi chake cha Sio habari ambacho kilikuwa kinaruka Clouds TV lakini kwa sasa hakiruki tena nini tatizo? Je? kitarudi kupitia Tv gani? hayo yote ......

HABARI ZA MASTAA Faiza amwambia Sugu hawezi kufuata hela ya matumizi ya Mtoto Mlimani City

cloudsfm

July 26th, 2018

No comments

Muigizaji Faiza Ally amerudi tena kwenye headlines leo July 23,2018 baada ya kumuandikia mzazi mwenzake Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu barua ya kumtaka ajitathmini na kutafuta njia sahihi ya ......

Maneno ya MO Dewji kwa wanachama wa Yanga leo

cloudsfm

July 26th, 2018

No comments

Moja kati ya stori inayochukua nafasi katika soka la bongo kwa sasa ni mtikisiko wa kiuchumi ndani ya club ya Yanga ambao inadaiwa kuwa umewafanya kushindwa kufanya usajili imara na kuyumba ......

HABARI ZA MASTAA PICHA: Muonekano wa sasa wa Elizabeth Michael ‘Lulu’

cloudsfm

July 26th, 2018

No comments

Ni miezi mitatu imepita tokea muigizaji na staa wa filamu nchini Elizabeth Michael “Lulu” aachiwe huru na kubadilishiwa adhabu yake na Mahakama Kuu ya Tanzania na kwa sasa anatumikia kifungo cha ......

This Website is Designed and Developed by Desy Ernest | desy@setuptz.com | 0719955966