Blog

Mlimbwende aolewa na Mfalme aliyepishana naye miaka 24.

Mwaija Salum

November 28th, 2018

No comments

Aliyekuwa Miss Moscow mwaka 2015 mrembo Oksana Voevodina (25) amekuwa FirstLady wa Malyasia, hii ni baada ya kufunga ndoa na mfalme wa taifa hilo, Mohamed Kalentan wa 5. Oksana amefunga ndoa na ......

Vijana wanaomiliki kampuni ya Swahili Inspiration wakutana na Joseph Kusaga

Mwaija Salum

November 27th, 2018

No comments

Mapema ya leo vijana wa Kitanzania wanaomiliki kampuni ya Swahili Inspiration ,walifika Mjengoni (CloudsMedia) wakiwa na lengo la kutoa shukrani za dhati kwa Mkurugenzi Mkuu ndugu Joseph Kusaga ......

Maua Sama Kama Darassa?

Mwaija Salum

November 27th, 2018

No comments

Mashabiki wa Bongo Fleva wamefunguka ngoma ya Iokote ya Maua Sama inapita kwenye njia ambayo ilipita ngoma ya Muziki ya msanii Darassa ambayo ilifunga mwaka 2016 kwa mafanikio makubwa. ......

Dogo Janja ajitabiria kifo?

Mwaija Salum

November 27th, 2018

No comments

Msanii wa Bongo Fleva, Dogo Janja ni kama amejitabiria kifo baada ya kuandika ujumbe kupitia akaunti yake ya Instagram, ujumbe huo ulisomeka hivi: ‘’ “SIKU NIKIFA” Utatoa machozi ......

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda aikubali Moja Kubwa.

Mwaija Salum

November 22nd, 2018

No comments

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameikubali Shoo Moja Kubwa ya Tigo Fiesta itakayofanyika Jumamosi Novemba 24, 2018 pande za viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es Salaam. ......

Seba Maganga azungumzia Ruge Mutahaba

Mwaija Salum

November 20th, 2018

No comments

Mkuu wa Maudhui Clouds Media Group, Seba Maganga amezungumzia kwa mara ya kwanza afya ya Mkurugenzi na Uzalishaji, Ruge Mutahaba. ‘’Ni kweli mengi yamezungumzwa lakini ukweli halisi ni huu, ......

Barnaba alivyoimba “LIVE” na kuacha gumzo Tigo Fiesta Dodoma

Mwaija Salum

November 20th, 2018

No comments

Tazama video msanii wa Bongo Fleva, Barnaba alivyoacha gumzo kwenye jukwaa la Tigo Fiesta Dodoma kwenye uwanja wa Jmahuri....

Dogo Janja nusura amwage machozi jukwaani Tigo Fiesta Dodoma.

Mwaija Salum

November 20th, 2018

No comments

Msanii wa Bongo Fleva, Dogo Janja busura amwage machozi kwenye jukwaa la Tigo Fiesta Dodoma kwenye uwanja wa Jamhuri. Angalia video ilivyokuwa....

This Website is Designed and Developed by Desy Ernest | desy@setuptz.com | 0719955966