Yanga

Blog

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda aikubali Moja Kubwa.

Mwaija Salum

November 22nd, 2018

No comments

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameikubali Shoo Moja Kubwa ya Tigo Fiesta itakayofanyika Jumamosi Novemba 24, 2018 pande za viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es Salaam. ......

Seba Maganga azungumzia Ruge Mutahaba

Mwaija Salum

November 20th, 2018

No comments

Mkuu wa Maudhui Clouds Media Group, Seba Maganga amezungumzia kwa mara ya kwanza afya ya Mkurugenzi na Uzalishaji, Ruge Mutahaba. ‘’Ni kweli mengi yamezungumzwa lakini ukweli halisi ni huu, ......

Barnaba alivyoimba “LIVE” na kuacha gumzo Tigo Fiesta Dodoma

Mwaija Salum

November 20th, 2018

No comments

Tazama video msanii wa Bongo Fleva, Barnaba alivyoacha gumzo kwenye jukwaa la Tigo Fiesta Dodoma kwenye uwanja wa Jmahuri....

Dogo Janja nusura amwage machozi jukwaani Tigo Fiesta Dodoma.

Mwaija Salum

November 20th, 2018

No comments

Msanii wa Bongo Fleva, Dogo Janja busura amwage machozi kwenye jukwaa la Tigo Fiesta Dodoma kwenye uwanja wa Jamhuri. Angalia video ilivyokuwa....

Waziri Mkuu wa Jamhuri Ya Tigo Fiesta ataka Demokrasia

Mwaija Salum

November 19th, 2018

No comments

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Tigo Fiesta, Gardener G. Habash  anaamini katika uwepo wa demokrasia ndio maana ameikubali  Kambi Rasmi Ya Upinzani ambayo imetambulishwa leo Novemba 19, 2018 kwenye ......

Angalia Vibe La The Mafik Tigo Fiesta Singida

Mwaija Salum

November 19th, 2018

No comments

Tazama Vibe Kama Lotee la The Mafik kwenye Tigo Fiesta pande za Singida katika uwanja wa Namfua....

Wakazi wa Dodoma Hawaendi Mbinguni?

Mwaija Salum

November 19th, 2018

No comments

Alichokifanya msanii wa Bongo Fleva mwenye vituko vingi, Whozu kwenye jukwaa la Tigo Fiesta Dodoma kweli wakazi wa jiji hilo hawastahili kwenda mbunguni? Tazama video uone kilichotokea. ...

Alichokifanya Billnass Tigo Fiesta Dodoma ni balaa

Mwaija Salum

November 19th, 2018

No comments

Angalia video jinsi msanii wa Bongo Fleva, Billnass alivyofanya balaa kwenye jukwaa la Tigo Fiesta jijini Dodoma katika uwanja wa Jamhuri, Novemba 18, 2018. ...

This Website is Designed and Developed by Desy Ernest | desy@setuptz.com | 0719955966