Blog

MWILI WA MICHAEL JACKSON KUFUKULIWA.

Mwaija Salum

February 7th, 2019

No comments

Mwili wa marehemu Michael Jackson huenda ukafukuliwa kaburini kwa ajili ya uchunguzi kufuatia tuhuma za ulawiti. Mtandao wa Radar Online umethibitisha. Kupitia filamu ya ‘Leaving ......

Kitabu kilivyompa mke Fid Q.

Mwaija Salum

February 7th, 2019

No comments

Msanii wa Bongo Fleva, FIDQ na mkewe maarufu kama Mama Cheusi wamezungumza hivi karibuni kupitia kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM jinsi kitabu cha kusoma kiliwakutanisha na hatimaye kuanzisha ......

Tattoo yamtesa Nay Wa Mitego, akiifuta anaacha muziki.

Mwaija Salum

February 6th, 2019

No comments

  Msanii wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego amesema tattoo aliyoichora kwenye mwili wake inamtesa, siku akiamua kuifuta, ataacha rasmi muziki. Tazama video akifunguka....

Sina tabia mbaya, ni mwaminifu namlinda mpenzi wangu- NikkiWaPili

Mwaija Salum

February 6th, 2019

No comments

Tupo kwenye msimu wa Mapenzi Mubashara, kuelekea siku ya Wapendanao,  msanii  wa Bongo Fleva, Nikki Wa Pili na mpenzi wake Joan wanatarajia kufunga ndoa ‘soon’, msanii huyo ametuahidi ......

Steve Nyerere atolea ufafanuzi kuhusu kauli yake ”Dimpoz hawezi kuimba tena”

Mwaija Salum

February 6th, 2019

No comments

Baada ya kutamka kuwa msanii wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz hatoweza kuimba tena kutokana na tatizo lake la koo na sauti yake kubadilika, Mwigizaji Steve nyerere ametolea ufafanuzi kuhusu kauli yake ...

Mchezaji Rabbin Sanga aanza mazoezi Academy ya Besiktas, Uturuki.

Mwaija Salum

February 6th, 2019

No comments

Mchezaji Rabbin Sanga  kutoka Ndondo Cup Academy  ameendelea na mazoezi na Academy ya Besiktas huko nchini Uturuki ikiwa ni sehemu ya ‘program’ ya majaribio yake. Hadi sasa anaendelea vizuri ......

Haijajulikana ni wapi nilikunywa sumu- Ommy Dimpoz

Mwaija Salum

February 5th, 2019

No comments

Msanii wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz amesema kuwa majibu ya daktari yalionyesha kuwa alikula sumu lakini haikujulikana ni sehemu gani alikula hiyo sumu. Ommy Dimpoz ameyazungumza hayo kwa mara ya ......

Mrembo Ajuta kuongeza ukubwa wa matiti.

Mwaija Salum

February 5th, 2019

No comments

Mkufunzu mmoja wa michezo nchini Australia, Melisa George ameyakata maziwa yake ya bandia aliyokuwa amepandikiza hii ni baada ya kusumbuliwa na ugonjwa uliopelekea kutaka kujiua. Jambo ......

Pilau lilivyowaunganisha FID Q na mkewe.

Mwaija Salum

February 5th, 2019

No comments

Mke wa Staa wa muziki wa Hip Hop Bongo, Fareed Kubanda ‘FIDQ’ , maarufu kama Mama Cheusi, amefunguka jinsi alivyokutana na mumewe huyo. ” Mimi na mume wangu FID Q tulikutana ......

Ni kweli Wasichana wengi hupenda Soka kwa sababu ya wapenzi wao?

Mwaija Salum

February 4th, 2019

No comments

Kuelekea Siku ya Wapendanao ”Valentine Day” Clouds Media tupo katika msimu wa Mapenzi Mubashara, mtandao huu Cloudsfm.co.tz umezungumza na msanii wa Bongo Fleva, Nikki Wa Pili amesema ...

This Website is Designed and Developed by Desy Ernest | desy@setuptz.com | 0719955966