Blog

Mwijaku awajibu wanaomchukulia poa, asema anamiliki magari nane.

Mwaija Salum

April 18th, 2019

No comments

Mwigizaji wa tamthilia, Mwijaku amewafungukia wale wanaomchukulia poa kwenye mitandao ya kijamii na kuwaambia kuwa kimaisha hawalingani na yeye, na hatoacha kuongea na kuwakemea vijana wanaotupia ...

Siwezi kuigiza na Hamisa Mobetto labda Pierre Liquid- Lulu

Mwaija Salum

April 18th, 2019

No comments

Mwigizaji wa filamu za Kibongo, Lulu Michael amefunguka kuwa hawezi kuigiza na Mwanamitindo na msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Hamisa Mobeto. Tazama video akizungumza kupitia kipindi cha XXL cha ...

Kushiriki mashindano ya Umiss halikuwa chaguo langu.

Mwaija Salum

April 18th, 2019

No comments

Aliyekuwa mshiriki wa mashindano ya Miss Tanzania mwaka 2001, Sophia Byanaku amefunguka mambo mengi kupitia kipindi cha Clouds Break cha Clouds TV. Tazama hapa mazungumzo yake....

Sevilla ya Hispania kutua Tanzania, kucheza na Simba na Yanga.

Mwaija Salum

April 18th, 2019

No comments

Klabu ya Sevilla inayoshiriki Ligi Kuu nchini Hispania (La Liga) inatarajiwa kutua nchini mwezi ujao tarehe 21 kwa ajili ya kucheza na moja ya vilabu kongwe nchini, Simba au Yanga katika mchezo ......

Miss Tanzania akana gari lake kukutwa bar.

Mwaija Salum

April 18th, 2019

No comments

Miss Tanzania 2018, Queen Elizabeth amekana gari lake kukutwa bar, pia amezungumza sababu za kushindwa kunyakua taji la Malkia wa Dunia ( Miss World).  Tazama video kizungumza....

#LIVE: EXCLUSIVE ELIZABETH MICHAEL AKIWA NDANI YA XXL

Mwaija Salum

April 17th, 2019

No comments

Mwigizaji wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ yupo Live kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM. Tazama mahojiano hayo hapa....

Lulu Diva kutoka na Wizkid, adai Kabula alitaka kumtoa roho kisa Banda.

Mwaija Salum

April 17th, 2019

No comments

Msanii wa Bongo Fleva, Lulu Diva amesema muda si mrefu atatoka na Wizkid kwa sababu anam’feel’ sana, na pia amefunguka kuwa msanii wa filamu za Kibongo, Jini Kabula alitaka kumtoa ......

Mwana FA ataka kuacha alama kabla hajafa.

Mwaija Salum

April 17th, 2019

No comments

Msanii wa Hip Hop Bongo, Mwana FA amewataka wasanii na watu wengine kuacha alama kwa kusaidia watu wengine kutimiza ndoto zao. Tazama video akizungumza....

Benson alimfumania mpenzi wake, akamsamehe.

Mwaija Salum

April 15th, 2019

No comments

Msanii wa Bongo Fleva, Benson amefunguka kupitia kipindi cha Leo Tena, leo April 15, 2019 kuwa alishawahi kumfumania mpenzi wake akitoka ‘guest’na mwanaume mwingine lakini alimsamehe. ......

Mchekeshaji Mwalubadu asema Yanga ikifungwa kama ametupiwa mfuko wa sementi.

Mwaija Salum

April 15th, 2019

No comments

Msanii wa Vichekesho, maarufu kwa jina la Mwalubadu leo Jumatatu April 15, 2019 amefanya mahojiano na kipindi cha Clouds 360 cha Clouds TV na kuzungumza mambo mengi kuhusu sanaa yake na jinsi ......

This Website is Designed and Developed by Desy Ernest | desy@setuptz.com | 0719955966