Yanga

Blog

Ruge Mutahaba- Sisi ni tofauti na Majirani zetu,tuna mengi ya kujivunia.

Mwaija Salum

August 3rd, 2018

No comments

Mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji Clouds Media Group, Ruge Mutahaba mapema leo asubuhi aliungana na wadau mbalimbali jijini Arusha kwenye Mkutano kati ya Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Dk ......

Gari la Miss Lake Zone lazua balaa, Kamati ya Miss Tanzania laikataa.

Mwaija Salum

August 3rd, 2018

No comments

Gari alilokuwa akabidhiwe mshindi wa Miss Lake Zone limezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuonekana limechakaa sana na halina hadhi ya kupewa kama zawadi kwa mshindi wa shindano hilo. ...

Victoria Kimani, apangua kuwa na bifu na Wolper, amsifia

Mwaija Salum

August 3rd, 2018

No comments

Baada ya jana kupost interview ya Victoria Kimani kwenye page ya Instagram ya @Cloudsfmtz  kuhusu kuwa na bifu na Jackline Wolper na kusema kuwa  hamfahamu wolper labda aingie Google, Hatimaye ......

Mashindano ya Africa Game 2018 yafunguliwa rasmi Afrika Kusini.

Mwaija Salum

August 1st, 2018

No comments

Safari ya kuelekea kwenye NBA Africa Game 2018 imefunguliwa rasmi kwa vijana kupata nafasi ya kutambulishwa kwenye programu ya basketball without boarders (mpira wa kikapu bila mipaka) na katika ......

Vijana wenye vipaji kutoka mataifa mbalimbali Afrika wakutana Afrika Kusini.

Mwaija Salum

August 1st, 2018

No comments

Vijana wenye vipaji kutoka mataifa mbalimbali kutoka barani Afrika wapo kwenye camp ya basketball Without Boarders. Kubwa ni kuwa walipokelewa na kabla ya kuanza mafunzo wamepewa nafasi ya ......

Abdi Banda afunga ndoa na dadake AliKiba, Zabibu Kiba.

Mwaija Salum

August 1st, 2018

No comments

Mchezaji wa zamani wa Simba SC anayechezea klabu ya Baroka FC ya South Africa Abdi Banda amefunga ndoa asubuhi ya leo na dada wa mkali wa BongoFleva AliKiba (Zabibu Kiba) kwenye msikiti wa Masjid ...

#Breaking Masoud Kipanya atangaza kuhama Chama

Mwaija Salum

July 31st, 2018

No comments

Kutokana na vuguvugu la wanasiasa kuhama vyama, muda huu Mtangazaji Masoud Kipanya ametangaza kuhama chama alichokuwa akikishabikia. Masoud alimshukuru sana Rais wa Jamhuri wa Muungano wa ......

YUNG L: ‘Namkubali Alikiba/Vanessa/ Naongea na Nicki Minaj mara kwa mara’

cloudsfm

July 26th, 2018

No comments

Kutana na Yung L kutokea nchini Nigeria aliyepata nafasi ya kufanya collaboration na Major Lazer pamoja na Nicki Minaj katika ngoma ya “Run up” kwenye Exclusive Interview na Ayo Tv amewataja ......

Shadee kwenye penzi jipya, “nime-enjoy nae Dubai”

cloudsfm

July 26th, 2018

No comments

Mtangazaji wa Clouds TV Shadee amezungumza na millardayo.com pamoja na Ayo TV kuhusu mahusiano yake mapya ya kimapenzi ambapo moja ya swali aliloulizwa ni pamoja na kuwahi kuwa kwenye uhusiano wa ...

This Website is Designed and Developed by Desy Ernest | desy@setuptz.com | 0719955966